Luke 23:18 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini wote wakapiga kelele pamoja: “Mwondoe huyo, utufungulie Baraba!” (
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo watu wote wakapiga kelele kwa pamoja, “Mwondoe mtu huyu! Tufungulie Baraba!”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakapiga kelele wote pamoja, wakisema, Mwondoe huyu, utufungulie Baraba.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini wote walipaza sauti zao pamoja, “Mwue! Mwachie huru Baraba!”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Lakini wote wakapiga kelele pamoja: “Mwondoe huyo, utufungulie Baraba!”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini wote wakapiga kelele pamoja: “Mwondoe huyo, utufungulie Baraba!” (
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo watu wote wakapiga kelele kwa pamoja, “Mwondoe mtu huyo! Tufungulie Baraba!”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo watu wote wakapiga kelele kwa pamoja, “Mwondoe mtu huyo! Tufungulie Baraba!”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakapiga kelele wote pamoja, wakisema, Mwondoe huyu, utufungulie Baraba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini wote wakapiga kelele pamoja: “Mwondoe huyo, utufungulie Baraba!” (
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watu wote pia wakapiga kelele wakisema: Umwondoe huyu, afe, utufungulie Baraba!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakapiga kelele wote pamoja, wakisema, Mwondoe huyu, utufungulie Baraba.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini wote pamoja wakapiga kelele wakisema: “Umwue mutu huyu na utufungulie Baraba!”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wakapiga kelele wote pamoja, wakisema, Mchukue huyu, tufungulie Barabba.