Luke 23:19 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baraba alikuwa ametiwa ndani kwa kusababisha uasi katika mji na pia kwa sababu ya kuua.)
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
(Baraba alikuwa amefungwa gerezani kwa sababu ya maasi yaliyokuwa yametokea mjini, na kwa ajili ya uuaji.)
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye ni mtu aliyetupwa gerezani kwa ajili ya fitina iliyotokea mjini, na kwa uuaji
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
(Baraba alifungwa gerezani kwa sababu ya kuanzisha fujo mjini na kwa mauaji.)
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
(Baraba alikuwa ametiwa ndani kwa kusababisha uasi katika mji na pia kwa sababu ya kuua.)
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baraba alikuwa ametiwa ndani kwa kusababisha uasi katika mji na pia kwa sababu ya kuua.)
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Baraba alikuwa amefungwa gerezani kwa sababu ya maasi yaliyokuwa yametokea mjini na kwa ajili ya mauaji).
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
(Baraba alikuwa amefungwa gerezani kwa sababu ya maasi yaliyokuwa yametokea mjini, na kwa ajili ya uuaji).
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye ni mtu aliyetupwa gerezani kwa ajili ya fitina iliyotokea mjini, na kwa uuaji
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baraba alikuwa ametiwa ndani kwa kusababisha uasi katika mji na pia kwa sababu ya kuua.)
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Baraba alikuwa ametiwa kifungoni kwa ajili ya kondo iliyokuwamo mjini na kwa ajili ya kuua watu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye ni mtu aliyetupwa gerezani kwa ajili ya fitina iliyotokea mjini, na kwa uuaji
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
(Baraba alikuwa amefungwa kwa ajili ya fujo iliyofanyika katika muji na kwa ajili ya kuua watu.)
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Nae ni mtu aliyetiwa gerezani kwa sababu ya fitina iliyofanyika mjini, na kwa uuaji.