Luke 23:20 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Pilato alitaka kumwachilia Yesu, hivyo akasema nao tena;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pilato, akitaka kumwachia Isa, akasema nao tena.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Pilato alisema nao mara ya pili, kwa vile alivyotaka kumfungua Yesu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Pilato alitaka amwachie huru Yesu. Hivyo Pilato akawaambia atamwachilia.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Pilato alitaka kumwachilia Yesu, hivyo akasema nao tena;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Pilato alitaka kumwachilia Yesu, hivyo akasema nao tena;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pilato akitaka kumwachia Yesu, akasema nao tena.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pilato, akitaka kumwachia Isa, akasema nao tena.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Pilato alisema nao mara ya pili, kwa vile alivyotaka kumfungua Yesu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Pilato alitaka kumwachilia Yesu, hivyo akasema nao tena;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Pilato akasema nao tena, kwani alitaka kumfungua Yesu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Pilato alisema nao mara ya pili, kwa vile alivyotaka kumfungua Yesu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kufuatana na vile Pilato alivyotaka kumufungua Yesu, yeye akasema tena na watu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bassi marra ya pili Pilato akasema nao, akitaka kumfungua Yesu.