Luke 23:30 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakati huo, ndipo watu wataanza kuiambia milima: ‘Tuangukieni!’ Na vilima, ‘Tufunikeni!’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo “ ‘wataiambia milima, “Tuangukieni!” na vilima, “Tufunikeni!” ’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo watakapoanza kuiambia milima, Tuangukieni, na vilima, Tufunikeni.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Watu wataiambia milima, ‘Tuangukieni!’ Wataviambia vilima, ‘Tufunikeni!’
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wakati huo, ndipo watu wataanza kuiambia milima: Tuangukieni! na vilima, Tufunikeni!
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakati huo, ndipo watu wataanza kuiambia milima: ‘Tuangukieni!’ na vilima, ‘Tufunikeni!’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo “ ‘wataiambia milima, “Tuangukieni” na vilima, “Tufunikeni!” ’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo “ ‘wataiambia milima, “Tuangukieni!” na vilima, “Tufunikeni!” ’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo watakapoanza kuiambia milima, Tuangukieni, na vilima, Tufunikeni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakati huo, ndipo watu wataanza kuiambia milima: ‘Tuangukieni!’ Na vilima, ‘Tufunikeni!’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, watakapoanza kuiambia milima: Tuangukieni! na kuyaambia machuguu: Tufunikeni!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo watakapoanza kuiambia milima, Tuangukieni, na vilima, Tufunikeni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakati ule watu wataanza kuiambia milima ‘Mutuangukie’, navyo vilima ‘Mutufunike!’
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Ndipo watakapoanza kuiambia milima, Tuangukieni, na vilima, Tusetirini.