Luke 23:32 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waliwachukua pia watu wengine wawili, wahalifu, wauawe pamoja naye.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watu wawili wahalifu walipelekwa pamoja na Isa ili wakasulubiwe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakapelekwa na wawili wengine, wahalifu, wauawe pamoja naye.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Walikuwepo pia wahalifu wawili waliotolewa nje ya mji pamoja na Yesu ili wauawe.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Waliwachukua pia watu wengine wawili, wahalifu, wauawe pamoja naye.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waliwachukua pia watu wengine wawili, wahalifu, wauawe pamoja naye.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watu wengine wawili wahalifu, walipelekwa pamoja na Yesu ili wakasulibiwe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watu wengine wawili wahalifu, walipelekwa pamoja na Isa ili wakasulubiwe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakapelekwa na wawili wengine, wahalifu, wauawe pamoja naye.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waliwachukua pia watu wengine wawili, wahalifu, wauawe pamoja naye.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakapelekwa nao wengine wawili waliofanya maovu, wauawe pamoja naye.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakapelekwa na wawili wengine, wahalifu, wauawe pamoja naye.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kulikuwa watu wengine wawili, watenda maovu; walipelekwa pamoja na Yesu kwa kutundikwa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wakachukuliwa wawili tena, wakhalifu, wauawe pamoja nae.