Luke 23:37 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
wakisema: “Kama kweli wewe ni Mfalme wa Wayahudi, jiokoe mwenyewe.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
na wakamwambia, “Kama wewe ni mfalme wa Wayahudi, jiokoe mwenyewe.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
huku wakisema, Kama wewe ndiwe mfalme wa Wayahudi, ujiokoe mwenyewe.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wakasema, “Ikiwa wewe ni mfalme wa Wayahudi, jiokoe mwenyewe!”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
wakisema: “Kama kweli wewe ni Mfalme wa Wayahudi, jiokoe mwenyewe.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
wakisema: “Kama kweli wewe ni Mfalme wa Wayahudi, jiokoe mwenyewe.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nao wakamwambia, “Kama wewe ni Mfalme wa Wayahudi, jiokoe mwenyewe.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
na wakamwambia, “Kama wewe ni Mfalme wa Wayahudi, jiokoe mwenyewe.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
huku wakisema, Kama wewe ndiwe mfalme wa Wayahudi, ujiokoe mwenyewe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
wakisema: “Kama kweli wewe ni Mfalme wa Wayahudi, jiokoe mwenyewe.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wakisema: Kama ndiwe mfalme wa Wayuda, jiokoe!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
huku wakisema, Kama wewe ndiwe mfalme wa Wayahudi, ujiokoe mwenyewe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na kumwambia: “Kama wewe ni mufalme wa Wayuda, ujiokoe wewe mwenyewe!”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kama wewe ndiwe mfalme wa Wayahudi, njiokoe nafsi yako.