Luke 23:38 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Vilevile maandishi haya yalikuwa yamewekwa juu yake: “Huyu ndiye Mfalme wa Wayahudi.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwenye msalaba juu ya kichwa chake, kulikuwa na maandishi haya: Huyu ndiye Mfalme wa Wayahudi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na juu yake palikuwa na anwani; HUYU NDIYE MFALME WA WAYAHUDI.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Waliandika maneno haya kwenye kibao msalabani juu ya kichwa chake: “HUYU NI MFALME WA WAYAHUDI”.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Vilevile maandishi haya yalikuwa yameandikwa na kuwekwa juu yake: “Huyu ndiye Mfalme wa Wayahudi.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Vilevile maandishi haya yalikuwa yamewekwa juu yake: “Huyu ndiye Mfalme wa Wayahudi.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwenye msalaba juu ya kichwa chake, kulikuwa na maandishi haya: HUYU NDIYE MFALME WA WAYAHUDI. Maandishi haya yalikuwa yameandikwa kwa lugha ya Kiyunani, Kilatini na Kiebrania.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwenye msalaba juu ya kichwa chake, kulikuwa na maandishi haya: huyu ndiye mfalme wa wayahudi. Maandishi haya yalikuwa yameandikwa kwa lugha za Kiyunani, Kilatini na Kiebrania.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na juu yake palikuwa na anwani; HUYU NDIYE MFALME WA WAYAHUDI.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Vilevile maandishi haya yalikuwa yamewekwa juu yake: “Huyu ndiye Mfalme wa Wayahudi.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena juu yake palikuwa pameandikwa Kigriki na Kiroma na Kiebureo: HUYU NDIYE MFALME WA WAYUDA.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na juu yake palikuwa na anwani; HUYU NDIYE MFALME WA WAYAHUDI.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na mashitaki haya yalikuwa yameandikwa juu ya musalaba wake: “Huyu ndiye Mufalme wa Wayuda.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Palikuwa na anwani juu yake kwa harufi za kiyunani na kirumi na kiebrania, HUYU NDIYE MFALME WA WAYAHUDI.