Luke 23:39 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mmoja wa wale wahalifu waliotundikwa msalabani, alimtukana akisema: “Je, si kweli kwamba wewe ndiwe Kristo? Basi, jiokoe mwenyewe, utuokoe na sisi pia.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mmoja wa wale wahalifu waliosulubiwa pamoja naye akamtukana, akasema: “Wewe si ndiye Al-Masihi? Jiokoe mwenyewe na utuokoe na sisi.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na mmoja wa wale wahalifu waliotungikwa alimtukana, akisema, Je! Wewe si Kristo? Jiokoe nafsi yako na sisi.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mmoja wa wahalifu aliyekuwa ananing'inia pale akaanza kumtukana Yesu: “Wewe siye Masihi? Basi jiokoe na utuokoe sisi pia!”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Mmoja wa wale wahalifu waliotundikwa msalabani, alimtukana akisema: “Je, si kweli kwamba wewe ndiwe Kristo? Basi, jiokoe mwenyewe, utuokoe na sisi pia.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mmoja wa wale wahalifu waliotundikwa msalabani, alimtukana akisema: “Je, si kweli kwamba wewe ndiwe Kristo? Basi, jiokoe mwenyewe, utuokoe na sisi pia.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mmoja wa wale wahalifu waliosulibiwa pamoja naye akamtukana, akasema: “Wewe si ndiye Kristo? Jiokoe ili utuokoe na sisi.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mmoja wa wale wahalifu waliosulubiwa pamoja naye akamtukana, akasema: “Wewe si ndiye Al-Masihi? Jiokoe mwenyewe na utuokoe na sisi.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na mmoja wa wale wahalifu waliotungikwa alimtukana, akisema, Je! Wewe si Kristo? Jiokoe nafsi yako na sisi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mmoja wa wale wahalifu waliotundikwa msalabani, alimtukana akisema: “Je, si kweli kwamba wewe ndiwe Kristo? Basi, jiokoe mwenyewe, utuokoe na sisi pia.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
*Mwenzao mmoja wale wafanya maovu waliotundikwa akambeza: Wewe siwe Kristo? Jiokoe mwenyewe na sisi!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na mmoja wa wale wahalifu waliotungikwa alimtukana, akisema, Je! Wewe si Kristo? Jiokoe nafsi yako na sisi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mumoja wa wale watenda maovu wawili waliotundikwa juu ya musalaba alimutukana, akisema: “Si wewe ndiwe Kristo? Basi ujiokoe wewe mwenyewe na kutuokoa sisi vilevile.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Mmoja wa wale wakhalifu waliotundikwa akamtukana, akisema, Si wewe uliye Kristo? Jiokoe nafsi yako na sisi.