Luke 23:4 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Pilato akawaambia makuhani wakuu na umati wa watu, “Sioni kosa lolote katika mtu huyu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pilato akawaambia viongozi wa makuhani na umati ule wote, “Sioni msingi wowote wa kumshtaki mtu huyu!”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Pilato akawaambia wakuu wa makuhani na makutano, Sioni neno lililo ovu katika mtu huyu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Pilato akawaambia wakuu wa makuhani na watu, “Sioni kosa lolote kwa mtu huyu.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Pilato akawaambia makuhani wakuu na umati wa watu, “Sioni kosa lolote katika mtu huyu.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Pilato akawaambia makuhani wakuu na umati wa watu, “Sioni kosa lolote katika mtu huyu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pilato akawaambia viongozi wa makuhani na watu wote waliokuwapo, “Sioni sababu ya kutosha kumshtaki mtu huyu!”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pilato akawaambia viongozi wa makuhani na watu wote waliokuwepo, “Sioni sababu ya kutosha kumshtaki mtu huyu!”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Pilato akawaambia wakuu wa makuhani na mkutano, Sioni neno lililo ovu katika mtu huyu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Pilato akawaambia makuhani wakuu na umati wa watu, “Sioni kosa lolote katika mtu huyu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Pilato akawaambia watambikaji wakuu na makundi ya watu kwake huyu mtu sioni neno la kumhukumu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Pilato akawaambia wakuu wa makuhani na makutano, Sioni neno lililo ovu katika mtu huyu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu Pilato akawaambia wakubwa wa makuhani na kundi la watu: “Mimi sioni hata sababu moja ya kumuhukumu mutu huyu.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Pilato akawaambia makuhani wakuu na makutano, Mimi sioni khatiya yo yote katika mtu huyu.