Luke 23:44 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ilikuwa yapata saa sita mchana; jua likaacha kuangaza, giza likaifunika nchi yote mpaka saa tisa,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ilikuwa kama saa sita mchana, nalo giza likafunika nchi yote hadi saa tisa,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hapo ilikuwa yapata saa sita, kukawa giza juu ya nchi yote hata saa kenda,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ilikuwa yapata saa sita mchana, lakini kulibadilika kukawa giza mpaka saa tisa alasiri,
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Ilikuwa yapata saa sita mchana; jua likaacha kuangaza, giza likafunika nchi yote mpaka saa tisa,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ilikuwa yapata saa sita mchana; jua likaacha kuangaza, giza likaifunika nchi yote mpaka saa tisa,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ilikuwa kama saa sita mchana, kukawa na giza katika nchi yote mpaka saa tisa,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ilikuwa kama saa sita mchana, nalo giza likafunika nchi yote hadi saa tisa,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hapo ilikuwa yapata saa sita, kukawa giza juu ya nchi yote hadi saa tisa,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ilikuwa yapata saa sita mchana; jua likaacha kuangaza, giza likaifunika nchi yote mpaka saa tisa,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ikawa, ilipofika kama saa sita, pakawa na giza katika nchi yote nzima mpaka saa tisa,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hapo ilikuwa yapata saa sita, kukawa giza juu ya nchi yote hata saa kenda,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ilikuwa karibu na saa sita ya muchana, jua likafifia, kukakuwa giza katika inchi yote mpaka saa tisa. Pazia la hekalu likapasuka katikati.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Ikapata kama saa a sita, pakawa giza juu ya inchi yote hatta saa a tissa,