Luke 23:45 — Compare Translations

13 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na pazia lililokuwa limetundikwa hekaluni likapasuka vipande viwili.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa sababu jua liliacha kutoa nuru. Pazia la Hekalu likachanika vipande viwili.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
jua limepungua nuru yake; pazia la hekalu likapasuka katikati.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
kwa sababu jua liliacha kung'aa. Pazia ndani ya Hekalu lilichanika vipande viwili.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
na pazia lililokuwa limetundikwa Hekaluni likapasuka vipande viwili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na pazia lililokuwa limetundikwa hekaluni likapasuka vipande viwili.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa sababu jua liliacha kutoa nuru. Pazia la Hekalu likachanika vipande viwili.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa sababu jua liliacha kutoa nuru. Pazia la Hekalu likachanika vipande viwili.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
jua limepungua nuru yake; pazia la hekalu likapasuka katikati.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na pazia lililokuwa limetundikwa hekaluni likapasuka vipande viwili.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kwa kuwa jua liliacha kuwaka; ndipo, pazia la Jumbani mwa Mungu lilipopasuka katikati.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
jua limepungua nuru yake; pazia la hekalu likapasuka katikati.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
jua likipunguka: pazia ya hekalu ikapasuka katikati.