Luke 23:52 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, yeye alikwenda kwa Pilato, akaomba apewe mwili wa Yesu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yusufu alienda kwa Pilato, akaomba apewe mwili wa Isa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
mtu huyo alikwenda kwa Pilato, akataka kupewa mwili wa Yesu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Alikwenda kwa Pilato na kumwomba mwili wa Yesu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, yeye alikwenda kwa Pilato, akaomba apewe mwili wa Yesu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, yeye alikwenda kwa Pilato, akaomba apewe mwili wa Yesu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yosefu alikwenda kwa Pilato akaomba apewe mwili wa Yesu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yusufu alikwenda kwa Pilato, akaomba apewe mwili wa Isa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
mtu huyo alikwenda kwa Pilato, akataka kupewa mwili wa Yesu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, yeye alikwenda kwa Pilato, akaomba apewe mwili wa Yesu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Huyo akaenda kwa Pilato, akataka kupewa mwili wa Yesu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
mtu huyo alikwenda kwa Pilato, akataka kupewa mwili wa Yesu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yosefu alienda kwa Pilato kwa kumwomba maiti ya Yesu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bassi mtu huyu akamwendea Pilato akaomba apewe mwili wa Yesu.