Luke 23:55 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wale wanawake walioandamana na Yesu kutoka Galilaya walimfuata Yosefu, wakaliona lile kaburi na jinsi mwili wake Yesu ulivyowekwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wale wanawake waliokuwa wamekuja pamoja na Isa wakimfuata kutoka Galilaya wakamfuata Yusufu, wakaliona kaburi na jinsi mwili wa Isa ulivyolazwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wale wanawake waliokuja naye toka Galilaya walifuata, wakaliona kaburi, na jinsi mwili wake ulivyowekwa.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wanawake waliotoka Galilaya pamoja na Yesu walimfuata Yusufu. Wakaliona kaburi. Ndani yake wakaona mahali alipouweka mwili wa Yesu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wale wanawake walioandamana na Yesu kutoka Galilaya walimfuata Yosefu, wakaliona lile kaburi na jinsi mwili wake Yesu ulivyowekwa
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wale wanawake walioandamana na Yesu kutoka Galilaya walimfuata Yosefu, wakaliona lile kaburi na jinsi mwili wake Yesu ulivyowekwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wale wanawake waliokuwa wamekuja pamoja na Yesu wakimfuata kutoka Galilaya, wakamfuata Yosefu, wakaliona kaburi na jinsi mwili wa Yesu ulivyolazwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wale wanawake waliokuwa wamekuja pamoja na Isa wakimfuata kutoka Galilaya wakamfuata Yusufu, wakaliona kaburi na jinsi mwili wa Isa ulivyolazwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wale wanawake waliokuja naye toka Galilaya walifuata, wakaliona kaburi, na jinsi mwili wake ulivyowekwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wale wanawake walioandamana na Yesu kutoka Galilaya walimfuata Yosefu, wakaliona lile kaburi na jinsi mwili wake Yesu ulivyowekwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini wanawake waliokuja pamoja naye toka Galilea wakafuata, wakalitazama kaburi, tena jinsi mwili wake ulivyowekwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wale wanawake waliokuja naye toka Galilaya walifuata, wakaliona kaburi, na jinsi mwili wake ulivyowekwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wale wanawake waliokuja na Yesu tangia Galilaya walimufuata Yosefu, wakaona kaburi na namna maiti ya Yesu ilivyowekwa mule.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wanawake wakafuatana nao, wale waliokuja pamoja nae kutoka Galilaya, wakalitazama kaburi na jinsi ulivyowekwa mwili wake. Wakarudi wakafanya tayari manukato na marhamu.