Luke 23:56 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Halafu, walirudi nyumbani, wakatayarisha manukato na marashi ya kuupaka mwili wa Yesu. Siku ya Sabato walipumzika kama ilivyoamriwa na sheria.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha wakarudi nyumbani, wakaandaa manukato na marhamu ya kuupaka huo mwili. Lakini wakapumzika siku ya Sabato kama ilivyoamriwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakarudi, wakafanya tayari manukato na marhamu. Na siku ya sabato walistarehe kama ilivyoamriwa.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kisha wakaenda kuandaa manukato yanayonukia vizuri ili kuupaka mwili wa Yesu. Siku ya Sabato walipumzika, kama ilivyoamriwa katika Sheria ya Musa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Halafu, walirudi nyumbani, wakatayarisha manukato na marashi kuyapaka mwili wa Yesu. Siku ya Sabato walipumzika kama ilivyoamriwa na sheria.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Halafu, walirudi nyumbani, wakatayarisha manukato na marashi ya kuupaka mwili wa Yesu. Siku ya Sabato walipumzika kama ilivyoamriwa na sheria.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha wakarudi nyumbani, wakaandaa manukato na marhamu ya kuupaka huo mwili. Lakini wakapumzika siku ya Sabato kama ilivyoamriwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha wakarudi nyumbani, wakaandaa manukato na marhamu ya kuupaka huo mwili. Lakini wakapumzika siku ya Sabato kama ilivyoamriwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakarudi, wakatayarisha manukato na marhamu. Na siku ya sabato walistarehe kama ilivyoamriwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Halafu, walirudi nyumbani, wakatayarisha manukato na marashi ya kuupaka mwili wa Yesu. Siku ya Sabato walipumzika kama ilivyoamriwa na sheria.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha wakarudi, wakatengeneza viungo na manukato; lakini siku ya mapumziko wakakaa kimya, kama walivyoagizwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakarudi, wakafanya tayari manukato na marhamu. Na siku ya sabato walistarehe kama ilivyoamriwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha wakarudia kwao kutengeneza mafuta na marasi ya kupakaa maiti. Siku ya Sabato wakapumzika kama Sheria ilivyoamuru.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na siku ya sabato wakastarehe kama ilivyoamriwa.