Luke 23:6 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Pilato aliposikia hayo, akauliza, “Je, mtu huyu ni mwenyeji wa Galilaya?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pilato aliposikia hayo akauliza kama huyo mtu alikuwa Mgalilaya.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Pilato aliposikia hayo aliuliza kama huyu ni mtu wa Galilaya.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Pilato aliposikia hili, akauliza, “Mtu huyu anatoka Galilaya?”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Pilato aliposikia hayo, akauliza, “Je, mtu huyu ni mwenyeji wa Galilaya?”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Pilato aliposikia hayo, akauliza, “Je, mtu huyu ni mwenyeji wa Galilaya?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pilato aliposikia hayo akauliza, “Huyu mtu ni Mgalilaya?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pilato aliposikia hayo akauliza, “Huyu mtu ni Mgalilaya?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Pilato aliposikia hayo aliuliza kama huyu ni mtu wa Galilaya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Pilato aliposikia hayo, akauliza, “Je, mtu huyu ni mwenyeji wa Galilaya?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini Pilato alipoyasikia haya akauliza, kama ni mtu wa Galilea.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Pilato aliposikia hayo aliuliza kama huyu ni mtu wa Galilaya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakati Pilato aliposikia maneno hayo, akauliza: “Mutu huyu ni wa Galilaya?”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Pilato aliposikia neno hili Galilaya, akauliza, Mtu huyu ni Mgalilaya?