Luke 23:9 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, akamwuliza maswali mengi kwa muda mrefu, lakini Yesu hakumjibu neno.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Herode akamuuliza maswali mengi, lakini Isa hakumjibu lolote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akamwuliza maneno mengi, yeye asimjibu lo lote.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Akamwuliza Yesu maswali mengi, lakini Yesu hakusema chochote.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, akamwuliza maswali mengi kwa muda mrefu, lakini Yesu hakumjibu neno.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, akamwuliza maswali mengi kwa muda mrefu, lakini Yesu hakumjibu neno.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Herode akamwuliza maswali mengi, lakini Yesu hakumjibu lo lote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Herode akamuuliza maswali mengi, lakini Isa hakumjibu lolote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akamwuliza maneno mengi, yeye asimjibu lolote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, akamwuliza maswali mengi kwa muda mrefu, lakini Yesu hakumjibu neno.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akamwuliza mengi, lakini yeye hakumjibu neno.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akamwuliza maneno mengi, yeye asimjibu lo lote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akamwuliza Yesu maneno mengi, lakini yeye hakumujibu neno.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akamwuliza kwa maneno mengi, yeye asimjibu lo lote.