Luke 24:10 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hao waliotoa habari hizo kwa mitume ni: Maria Magdalene, Yoana na Maria mama wa Yakobo, pamoja na wanawake wengine walioandamana nao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi Mariamu Magdalene, Yoana, na Mariamu mama yake Yakobo, pamoja na wanawake wengine waliofuatana nao ndio waliwaelezea mitume habari hizi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao ni Mariamu Magdalene, na Yoana, na Mariamu mamaye Yakobo, na wale wanawake wengine waliokuwa pamoja nao;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wanawake hawa walikuwa Mariamu Magdalena, Yoana, na Mariamu, mama yake Yakobo na wanawake wengine. Waliwaambia mitume kila kitu kilichotokea.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Hao waliotoa habari hizo kwa mitume ni: Maria Magdalene, Yoana na Maria mama wa Yakobo, pamoja na wanawake wengine walioandamana nao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hao waliotoa habari hizo kwa mitume ni: Maria Magdalene, Yoana na Maria mama wa Yakobo, pamoja na wanawake wengine walioandamana nao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi hawa walikuwa Maria Magdalene, Yoana na Maria mama yake Yakobo, pamoja na wengine waliofuatana nao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi Maria Magdalene, Yoana, na Maria mama yake Yakobo, pamoja na wanawake wengine waliofuatana nao ndio waliwaelezea mitume habari hizi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao ni Mariamu Magdalene, na Yoana, na Mariamu mamaye Yakobo, na wale wanawake wengine waliokuwa pamoja nao;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hao waliotoa habari hizo kwa mitume ni: Maria Magdalene, Yoana na Maria mama wa Yakobo, pamoja na wanawake wengine walioandamana nao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao walikuwa Maria Magadalene na Yohana na Maria, mama yake Yakobo, na wengine waliokuwa pamoja nao; hao ndio waliowapasha mitume habari hizi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao ni Mariamu Magdalene, na Yoana, na Mariamu mamaye Yakobo, na wale wanawake wengine waliokuwa pamoja nao;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na hawa ndio waliowapasha habari ile kwa mitume: Maria wa Magdala, Yoana na Maria mama ya Yakobo. Kulikuwa vilevile wanawake wengine pamoja nao.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na hao waliowaambia mitume mambo haya ni Mariamu Magdalene, na Yoanna, na Mariamu mama yake Yakobo na wengine waliokuwa pamoja nao.