Luke 24:11 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mitume waliyachukua maneno hayo kama yasiyo na msingi, hivyo hawakuamini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini hawakuwasadiki hao wanawake, kwa sababu maneno yao yalionekana kama upuzi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
hao waliwaambia mitume habari ya mambo hayo.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini mitume hawakuamini yale waliyosema. Ilionekana kama upuuzi.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Mitume waliyachukua maneno hayo kama yasiyo na msingi, hivyo hawakuamini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mitume waliyachukua maneno hayo kama yasiyo na msingi, hivyo hawakuamini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini wale waliosikia hawakuwasadiki hao wanawake, kwa sababu maneno yao yalionekana kama upuzi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini hawakuwasadiki hao wanawake, kwa sababu maneno yao yalionekana kama upuzi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
hao waliwaambia mitume habari ya mambo hayo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mitume waliyachukua maneno hayo kama yasiyo na msingi, hivyo hawakuamini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini wajapoyawazia maneno hayo kuwa upuzi tu, wasiwaitikie,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
hao waliwaambia mitume habari ya mambo hayo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini mitume hawakusadiki maneno ya wale wanawake, waliwaza kwamba ni ya bure.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Maneno yao yakaonekana kuwa ni upuzi kwao, wala hawakuwasadiki.