Luke 24:13 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Siku hiyohiyo, wawili kati ya wafuasi wake Yesu wakawa wanakwenda katika kijiji kimoja kiitwacho Emau, umbali wa kilomita kumi na moja kutoka Yerusalemu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ikawa siku hiyo hiyo, wanafunzi wawili wa Isa walikuwa njiani wakienda kijiji kilichoitwa Emau, yapata maili saba kutoka Yerusalemu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na tazama, siku ile ile watu wawili miongoni mwao walikuwa wakienda kijiji kimoja, jina lake Emau, kilichokuwa mbali na Yerusalemu kama mwendo wa saa mbili.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Siku hiyo hiyo, wafuasi wawili wa Yesu walikuwa wanakwenda kwenye mji mdogo uitwao Emausi, uliokuwa yapata kilomita kumi na mbili kutoka Yerusalemu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Siku hiyohiyo, wawili kati ya wafuasi wake Yesu wakawa wanakwenda katika kijiji kimoja kiitwacho Emau, umbali wa kilomita kumi na moja kutoka Yerusalemu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Siku hiyohiyo, wawili kati ya wafuasi wake Yesu wakawa wanakwenda katika kijiji kimoja kiitwacho Emau, umbali wa kilomita kumi na moja kutoka Yerusalemu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ikawa siku iyo hiyo, wanafunzi wawili wa Yesu walikuwa njiani wakienda kijiji cha Emau, yapata maili saba kutoka Yerusalemu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ikawa siku iyo hiyo, wanafunzi wawili wa Isa walikuwa njiani wakienda kijiji kilichoitwa Emau, yapata maili saba kutoka Yerusalemu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na tazama, siku ile ile watu wawili miongoni mwao walikuwa wakienda katika kijiji kimoja, jina lake Emau, kilichokuwa mbali na Yerusalemu kama mwendo wa saa mbili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Siku hiyohiyo, wawili kati ya wafuasi wake Yesu wakawa wanakwenda katika kijiji kimoja kiitwacho Emau, umbali wa kilomita kumi na moja kutoka Yerusalemu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
*Siku ile wenzao wawili walikuwa wakienda, waje kijijini, jina lake Emao; mtu akitoka Yerusalemu, ni mwendo wa saa mbili.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na tazama, siku ile ile watu wawili miongoni mwao walikuwa wakienda kijiji kimoja, jina lake Emau, kilichokuwa mbali na Yerusalemu kama mwendo wa saa mbili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Siku ile ile, wawili kati ya wanafunzi walikuwa wakienda kwenye kijiji cha Emau, kilichokuwa kwa umbali wa kilometre kumi na moja kutoka Yerusalema.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Siku ileile wawili wao walikuwa wakienda hatta kijiji, jina lake Emmao, kilichokuwa mbali ya Yerusalemi yapata stadio sittini.