Luke 24:2 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walikuta lile jiwe limevingirishwa mbali na kaburi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakakuta lile jiwe limevingirishwa kutoka mdomo wa kaburi,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakalikuta lile jiwe limevingirishwa mbali na kaburi,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Walikuta jiwe kubwa lililokuwa limeziba mlango wa kaburi limevingirishwa kutoka kwenye mlango wa kaburi.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Walikuta lile jiwe limeviringishwa mbali na kaburi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walikuta lile jiwe limevingirishwa mbali na kaburi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakakuta lile jiwe limevingirishwa kutoka kwenye kaburi,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakakuta lile jiwe limevingirishwa kutoka kwenye kaburi,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakalikuta lile jiwe limevingirishwa mbali na kaburi,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walikuta lile jiwe limevingirishwa mbali na kaburi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakaliona lile jiwe, limekwisha fingirishwa na kutoka kaburini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakalikuta lile jiwe limevingirishwa mbali na kaburi,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Walipofika, wakakuta jiwe kubwa limekwisha kusukumwa pembeni ya kiingilio cha kaburi.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wakalikuta lile jiwe limefingirishwa mbali ya kaburi.