Luke 24:21 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini sisi tulitumaini kwamba yeye ndiye angeikomboa Israeli. Zaidi ya hayo yote, leo ni siku ya tatu tangu mambo hayo yalipotendeka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini tulikuwa tumetegemea kwamba yeye ndiye atakayewakomboa Israeli. Zaidi ya hayo, leo ni siku ya tatu tangu mambo haya yatendeke.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nasi tulikuwa tukitumaini ya kuwa yeye ndiye atakayewakomboa Israeli. Zaidi ya hayo yote, leo ni siku ya tatu tangu yalipotendeka mambo hayo;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Tulitegemea kuwa ndiye atakayeiweka huru Israeli. Lakini sasa haya yote yametokea. Na sasa kitu kingine: Imekuwa ni siku tatu tangu alipouawa,
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Lakini sisi tulitumaini kwamba yeye ndiye angeikomboa Israeli. Zaidi ya hayo yote, leo ni siku ya tatu tangu mambo hayo yalipotendeka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini sisi tulitumaini kwamba yeye ndiye angeikomboa Israeli. Zaidi ya hayo yote, leo ni siku ya tatu tangu mambo hayo yalipotendeka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini tulikuwa tumetegemea kwamba yeye ndiye angeliikomboa Israeli. Zaidi ya hayo, leo ni siku ya tatu tangu mambo haya yatokee.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini tulikuwa tumetegemea kwamba yeye ndiye angelikomboa Israeli. Zaidi ya hayo, leo ni siku ya tatu tangu mambo haya yatokee.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nasi tulikuwa tukitumaini ya kuwa yeye ndiye atakayewakomboa Israeli. Zaidi ya hayo yote, leo ni siku ya tatu tangu yalipotendeka mambo hayo;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini sisi tulitumaini kwamba yeye ndiye angeikomboa Israeli. Zaidi ya hayo yote, leo ni siku ya tatu tangu mambo hayo yalipotendeka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini sisi twalimngojea, ya kuwa ndiye atakayewakomboa Waisiraeli. Yakiisha hayo yote, leo ni siku ya tatu tangu hapo, yalipokuwapo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nasi tulikuwa tukitumaini ya kuwa yeye ndiye atakayewakomboa Israeli. Zaidi ya hayo yote, leo ni siku ya tatu tangu yalipotendeka mambo hayo;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sisi tulikuwa na tumaini kwamba yeye ndiye atakayekomboa Waisraeli. Lakini sasa, leo ni siku ya tatu tangu mambo hayo yalipofanyika.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
nasi twalitaraja ya kuwa yeye ndiye atakaekomboa Israeli. Hatta pamoja na haya yote, leo ni siku ya tatu tangu yalipokuwa haya.