Luke 24:23 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
wasiukute mwili wake. Wakarudi wakasema kwamba walitokewa na malaika waliowaambia kwamba alikuwa hai.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
lakini hawakuukuta mwili wake. Walirudi wakasema wameona maono ya malaika ambao waliwaambia kwamba Isa yu hai.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wasiuone mwili wake; wakaja wakasema ya kwamba wametokewa na malaika waliosema kwamba yu hai.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini hawakuuona mwili wake pale. Walikuja na kutuambia kuwa wamewaona malaika. Malaika waliwaambia Yesu yu hai!
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
wasiukute mwili wake. Wakarudi wakasema kwamba walitokewa na malaika waliowaambia kwamba alikuwa hai.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
wasiukute mwili wake. Wakarudi wakasema kwamba walitokewa na malaika waliowaambia kwamba alikuwa hai.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
lakini hawakuukuta mwili wake. Walirudi wakasema wameona maono ya malaika ambao waliwaambia kwamba Yesu yu hai.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
lakini hawakuukuta mwili wake. Walirudi wakasema wameona maono ya malaika ambao waliwaambia kwamba Isa yu hai.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wasiuone mwili wake; wakaja wakasema ya kwamba wametokewa na malaika waliosema kwamba yu hai.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
wasiukute mwili wake. Wakarudi wakasema kwamba walitokewa na malaika waliowaambia kwamba alikuwa hai.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wasiuone mwili wake, wakaja, wakasema: Tumetokewa na malaika waliosema: Yeye yu hai.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wasiuone mwili wake; wakaja wakasema ya kwamba wametokewa na malaika waliosema kwamba yu hai.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
lakini hawakuona maiti yake. Basi wakarudia kutuelezea kwamba wamalaika waliwatokea na kuwaambia kwamba yeye ni muzima.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
wasioukuta mwili wake, wakaja, wakasema ya kwamba wametokewa na malaika, waliowaambia yu hayi.