Luke 24:26 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, haikumpasa Kristo kuteswa, na hivyo aingie katika utukufu wake?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, haikumpasa Al-Masihi kuteswa kwa njia hiyo na kisha aingie katika utukufu wake?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Haikumpasa Kristo kupata mateso haya na kuingia katika utukufu wake?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Manabii waliandika kwamba Masihi lazima ateseke kwa mambo haya kabla hajaingia katika utukufu wa ufalme wake.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Je, haikumpasa Kristo kuteswa, na hivyo aingie katika utukufu wake?”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, haikumpasa Kristo kuteswa, na hivyo aingie katika utukufu wake?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, haikumpasa Kristo kuteswa kwa njia hiyo na kisha aingie katika utukufu wake?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, haikumpasa Al-Masihi kuteswa kwa njia hiyo na kisha aingie katika utukufu wake?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Haikumpasa Kristo kupata mateso haya na kuingia katika utukufu wake?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, haikumpasa Kristo kuteswa, na hivyo aingie katika utukufu wake?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Haikumpasa Kristo kuteswa hivyo, apate kuingia katika utukufu wake?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Haikumpasa Kristo kupata mateso haya na kuingia katika utukufu wake?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Haikumupasa Kristo ateswe kama vile na aingie kwenye nafasi atakapotukuzwa?”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Haikumpasa Kristo kupata mateso haya, ndipo aingie enzini mwake?