Luke 24:28 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walipokikaribia kile kijiji walichokuwa wanakiendea, Yesu akafanya kana kwamba anaendelea na safari;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nao walipokaribia kile kijiji walichokuwa wakienda, Isa akawa kama anaendelea mbele.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakakikaribia kile kijiji walichokuwa wakienda, naye alifanya kama anataka kuendelea mbele.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wakakaribia mji wa Emausi, na Yesu akafanya kama vile alikuwa anaendelea mbele.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Walipokikaribia kile kijiji walikokuwa wanakwenda, Yesu akafanya kana kwamba anaendelea na safari;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walipokikaribia kile kijiji walichokuwa wanakiendea, Yesu akafanya kana kwamba anaendelea na safari;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nao wakakaribia kile kijiji walichokuwa wakienda, Yesu akawa kama anaendelea mbele.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nao walipokaribia kile kijiji walichokuwa wakienda, Isa akawa kama anaendelea mbele.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakakikaribia kile kijiji walichokuwa wakienda, naye alifanya kama anataka kuendelea mbele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walipokikaribia kile kijiji walichokuwa wanakiendea, Yesu akafanya kana kwamba anaendelea na safari;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walipokikaribia kijiji, walichokiendea, akajitendekeza, kama anataka kwenda mbele.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakakikaribia kile kijiji walichokuwa wakienda, naye alifanya kama anataka kuendelea mbele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nao walipofika karibu na kile kijiji ambamo walikuwa wakienda, Yesu akaendelea mbele, akiwa sawa mwenye kuwaacha.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wakakikaribia kijiji walikokuwa wakienda; nae akajifanya kama anataka kwenda mbele.