Luke 24:3 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walipoingia ndani, hawakuuona mwili wa Bwana Yesu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
lakini walipoingia ndani, hawakuuona mwili wa Bwana Isa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakaingia, wasiuone mwili wa Bwana Yesu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Waliingia kaburini, lakini hawakuuona mwili wa Bwana Yesu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Walipoingia ndani, hawakuona mwili wa Bwana Yesu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walipoingia ndani, hawakuuona mwili wa Bwana Yesu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
lakini walipoingia ndani, hawakuuona mwili wa Bwana Yesu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
lakini walipoingia ndani, hawakuuona mwili wa Bwana Isa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakaingia, wasiuone mwili wa Bwana Yesu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walipoingia ndani, hawakuuona mwili wa Bwana Yesu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walipoingia, hawakuuona mwili wake Bwana Yesu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakaingia, wasiuone mwili wa Bwana Yesu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini walipoingia ndani ya kaburi hawakuona maiti ya Bwana Yesu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wakaingia, wasiuone mwili wa Bwana Yesu.