Luke 24:34 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
wakisema, “Hakika Bwana amefufuka, amemtokea Simoni.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
wakasema, “Ni kweli! Bwana Isa amefufuka, naye amemtokea Simoni.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wakisema, Bwana amefufuka kweli kweli, naye amemtokea Simoni.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kundi likawaambia wale wafuasi wawili, “Hakika Bwana amefufuka kutoka kwa wafu! Alimtokea Simoni.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
wakisema, “Hakika Bwana amefufuka, amemtokea Simoni.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
wakisema, “Hakika Bwana amefufuka, amemtokea Simoni.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
wakisema, “Ni kweli Bwana amefufuka, naye amemtokea Simoni.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
wakisema, “Ni kweli! Bwana Isa amefufuka, naye amemtokea Simoni.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wakisema, Bwana amefufuka kweli kweli, naye amemtokea Simoni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
wakisema, “Hakika Bwana amefufuka, amemtokea Simoni.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wamekusanyika na kusema: Bwana amefufuka kweli! Amemtokea Simoni!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wakisema, Bwana amefufuka kweli kweli, naye amemtokea Simoni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hao waliokusanyika wakawaambia: “Hakika Bwana amefufuka, na amemutokea Simoni!”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
wakisema, Hakika Bwana amefufuka, amemtokea Simon.