Luke 24:39 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Angalieni mikono na miguu yangu, ya kwamba ni mimi mwenyewe. Nipapaseni mkaone, maana mzimu hauna mwili na mifupa kama mnionavyo.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tazameni mikono yangu na miguu yangu, mwone kuwa ni mimi mwenyewe. Niguseni mwone; kwa maana mzuka huna nyama na mifupa, kama mnavyoniona mimi.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tazameni mikono yangu na miguu yangu, ya kuwa ni mimi mwenyewe. Nishikenishikeni, mwone; kwa kuwa roho haina mwili na mifupa kama mnavyoniona mimi kuwa nayo.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Angalieni mikono na miguu yangu. Hakika ni mimi. Niguseni. Mtaweza kuona kuwa nina mwili wenye nyama na mifupa; mzimu hauna mwili kama huu.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Angalieni mikono na miguu yangu, ya kwamba ni mimi mwenyewe. Nipapaseni mkanione, maana mzimu hauna mwili na mifupa kama mnionavyo.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Angalieni mikono na miguu yangu, ya kwamba ni mimi mwenyewe. Nipapaseni mkaone, maana mzimu hauna mwili na mifupa kama mnionavyo.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tazameni mikono yangu na miguu yangu, mwone kuwa ni mimi hasa. Niguseni mwone, kwa maana mzuka hauna nyama na mifupa, kama mnionavyo kuwa navyo.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tazameni mikono yangu na miguu yangu, mwone kuwa ni mimi hasa. Niguseni mwone; kwa maana mzuka hauna nyama na mifupa, kama mnionavyo kuwa navyo.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tazameni mikono yangu na miguu yangu, ya kuwa ni mimi mwenyewe. Nishikenishikeni, mwone; kwa kuwa roho haina mwili na mifupa kama mnavyoniona mimi kuwa nayo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Angalieni mikono na miguu yangu, ya kwamba ni mimi mwenyewe. Nipapaseni mkaone, maana mzimu hauna mwili na mifupa kama mnionavyo.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yatazameni maganja yangu na miguu yangu, mjue: Ni mimi mwenyewe! Nipapaseni, mwone! Kwani mzimu hanayo nyama ya mwili wala mifupa, kama mnavyoniona mimi kuwa nayo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tazameni mikono yangu na miguu yangu, ya kuwa ni mimi mwenyewe. Nishikenishikeni, mwone; kwa kuwa roho haina mwili na mifupa kama mnavyoniona mimi kuwa nayo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Muangalie mikono yangu na miguu yangu, kusudi mupate kutambua kwamba ni mimi. Muniguse, muone, kwa maana muzimu hana mwili wala mifupa kama hivi munavyoniona kuwa navyo.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Tazameni mikono yangu, na miguu yangu, ya kuwa ni mimi mwenyewe. Nipapaseni, mkatazame; kwa maana pepo hana mwili na mifupa, kama mnionavyo mimi kuwa nayo.