Luke 24:40 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baada ya kusema hayo, akawaonesha mikono na miguu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Aliposema haya, akawaonesha mikono na miguu yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na baada ya kusema hayo aliwaonyesha mikono yake na miguu yake.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mara baada ya Yesu kusema haya, aliwaonesha mikono na miguu yake.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Baada ya kusema hayo, akawaonyesha mikono na miguu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baada ya kusema hayo, akawaonesha mikono na miguu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Aliposema haya, akawaonyesha mikono na miguu yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Aliposema haya, akawaonyesha mikono na miguu yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na baada ya kusema hayo aliwaonesha mikono yake na miguu yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baada ya kusema hayo, akawaonesha mikono na miguu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alipokwisha kuyasema haya akawaonyesha maganja na miguu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na baada ya kusema hayo aliwaonyesha mikono yake na miguu yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alipokwisha kusema vile, akawaonyesha mikono na miguu yake.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na baada ya kusema haya akawaonyesha mikono yake na miguu yake.