Luke 24:6 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hayuko hapa; amefufuka. Kumbukeni aliyowaambieni alipokuwa kule Galilaya:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hayuko hapa; amefufuka! Kumbukeni alivyowaambia alipokuwa bado yuko pamoja nanyi huko Galilaya kwamba:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hayupo hapa, amefufuka. Kumbukeni alivyosema nanyi alipokuwa akaliko Galilaya,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yesu hayuko hapa. Amefufuka kutoka kwa wafu. Mnakumbuka alivyosema alipokuwa Galilaya?
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Hayuko hapa; amefufuka. Kumbukeni aliyowaambieni alipokuwa kule Galilaya:
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hayuko hapa; amefufuka. Kumbukeni aliyowaambieni alipokuwa kule Galilaya:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hayuko hapa, amefufuka! Kumbukeni alivyowaambia alipokuwa bado yuko pamoja nanyi huko Galilaya kwamba:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hayuko hapa; amefufuka! Kumbukeni alivyowaambia alipokuwa bado yuko pamoja nanyi huko Galilaya kwamba:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hayupo hapa, amefufuka. Kumbukeni alivyosema nanyi alipokuwa bado yuko Galilaya,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hayuko hapa; amefufuka. Kumbukeni aliyowaambieni alipokuwa kule Galilaya:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hayumo humu, ila amefufuliwa. Kumbukeni, alivyowaambia alipokuwa bado huko Galilea
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hayupo hapa, amefufuka. Kumbukeni alivyosema nanyi alipokuwa akaliko Galilaya, Lk 9:22; 18:31-33
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yeye hayuko hapa; amefufuka! Mukumbuke jinsi alivyowaambia wakati alipokuwa angali Galilaya.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kumbukeni jinsi alivyosema nanyi alipokuwa hajatoka Galilaya, akinena,