Luke 24:9 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
wakarudi kutoka kaburini, wakawapa mitume wale kumi na mmoja na wafuasi wengine habari za mambo hayo yote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Waliporudi kutoka huko kaburini, wakawaeleza wale wanafunzi kumi na mmoja pamoja na wengine wote mambo haya yote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakaondoka kaburini, wakarudi; wakawaarifu wale kumi na mmoja na wengine wote habari za mambo hayo yote.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wanawake wakaondoka kaburini na kurudi kwa mitume kumi na mmoja na wafuasi wengine. Waliwaeleza kila kitu kilichotokea kaburini.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
wakarudi kutoka kaburini, wakawapa mitume wale kumi na mmoja na wengine habari za mambo hayo yote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
wakarudi kutoka kaburini, wakawapa mitume wale kumi na mmoja na wafuasi wengine habari za mambo hayo yote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Waliporudi kutoka huko kaburini, wakawaeleza wale wanafunzi kumi na mmoja pamoja na wengine wote mambo haya yote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Waliporudi kutoka huko kaburini, wakawaeleza wale wanafunzi kumi na mmoja pamoja na wengine wote mambo haya yote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakaondoka kaburini, wakarudi; wakawaarifu wale kumi na mmoja na wengine wote habari za mambo hayo yote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
wakarudi kutoka kaburini, wakawapa mitume wale kumi na mmoja na wafuasi wengine habari za mambo hayo yote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wakarudi toka kaburini, wakawasimulia wale kumi na mmoja na wengine wote haya yote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakaondoka kaburini, wakarudi; wakawaarifu wale kumi na mmoja na wengine wote habari za mambo hayo yote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waliporudia toka kwenye kaburi, wakapasha habari ile kwa wanafunzi kumi na mumoja na kwa wafuasi wengine wote wa Yesu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
wakarejea kutoka kaburi, wakawaarifu wale edashara na wale wengine wote pia mambo hayo yote.