Luke 3:10 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Umati wa watu ukamwuliza, “Tufanye nini basi?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Umati ule wa watu wakamuuliza, “Inatupasa tufanyeje basi?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Makutano wakamwuliza, Tufanye nini basi?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Watu wakamwuliza Yohana, “Tufanye nini?”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Umati wa watu ukamwuliza, “Tufanye nini basi?”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Umati wa watu ukamwuliza, “Tufanye nini basi?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ule umati wa watu ukamwuliza, “Inatupasa tufanyeje basi?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ule umati wa watu ukamuuliza, “Inatupasa tufanyeje basi?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Makutano wakamwuliza, Tufanye nini basi?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Umati wa watu ukamwuliza, “Tufanye nini basi?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yale makundi ya watu wakamwuliza wakisema: Basi, tufanye nini?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Makutano wakamwuliza, Tufanye nini basi?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu watu wale wakamwuliza: “Basi tufanye nini?”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Nao makutano wakamwuliza wakinena, Tufanyeni, bassi?