Luke 3:12 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nao watozaushuru wakaja pia ili wabatizwe, wakamwuliza, “Mwalimu, tufanye nini?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watoza ushuru nao wakaja ili wabatizwe, wakamuuliza, “Mwalimu na sisi inatupasa tufanyeje?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Watoza ushuru nao wakaja kubatizwa, wakamwuliza, Mwalimu, tufanye nini sisi?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hata watoza ushuru walikuja kwa Yohana. Walitaka wabatizwe. Walimwambia, “Mwalimu, tufanye nini sisi?”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Nao watoza ushuru wakaja pia ili wabatizwe, wakamwuliza, “Mwalimu, tufanye nini?”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nao watozaushuru wakaja pia ili wabatizwe, wakamwuliza, “Mwalimu, tufanye nini?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watoza ushuru nao wakaja ili wabatizwe, wakamwuliza, “Bwana na sisi inatupasa tufanyeje?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watoza ushuru nao wakaja ili wabatizwe, wakamuuliza, “Bwana, na sisi inatupasa tufanyeje?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Watoza ushuru nao wakaja kubatizwa, wakamwuliza, Mwalimu, tufanye nini sisi?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nao watozaushuru wakaja pia ili wabatizwe, wakamwuliza, “Mwalimu, tufanye nini?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watoza kodi nao walipokuja, wabatizwe, wakamwuliza: Mfunzi, tufanye nini?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Watoza ushuru nao wakaja kubatizwa, wakamwuliza, Mwalimu, tufanye nini sisi?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Walipishaji wa kodi nao wakamufikia vilevile kusudi wabatizwe. Wakamwuliza: “Mwalimu, tufanye nini?”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Watoza ushuru nao wakaja illi kubatizwa, wakamwambia, Mwalimu, tufanyeni?