Luke 3:18 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hivyo, pamoja na mawaidha mengine mengi, Yohane aliwahimiza watu akiwahubiria Habari Njema.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi, kwa maonyo mengine mengi Yahya aliwasihi na kuwahubiria watu Habari Njema.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi, kwa maonyo mengine mengi aliwahubiri watu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hivi ndivyo ambavyo Yohana aliwahubiri watu Habari Njema. Aliwaonya sana kuwa wanatakiwa kubadili njia zao.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Hivyo, pamoja na mawaidha mengine mengi, Yohane aliwahimiza watu akiwahubiria Habari Njema.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hivyo, pamoja na mawaidha mengine mengi, Yohane aliwahimiza watu akiwahubiria Habari Njema.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi, kwa maonyo mengine mengi Yohana aliwahubiri watu Habari Njema.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi, kwa maonyo mengine mengi Yahya aliwasihi na kuwahubiria watu Habari Njema.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi, kwa maonyo mengine mengi aliwahubiria watu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hivyo, pamoja na mawaidha mengine mengi, Yohane aliwahimiza watu akiwahubiria Habari Njema.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivyo aliwapigia watu mbiu njema na kuwaonya hata mengine mengi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi, kwa maonyo mengine mengi aliwahubiri watu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na Yoane aliwahubiria watu wale Habari Njema akiwatolea maonyo mengi mbalimbali.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bassi kwa maonyo mengi na ya namna nyingine mengi akawakhubiri watu.