Luke 3:2 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na Anasi na Kayafa walikuwa makuhani wakuu. Wakati huo ndipo neno la Mungu lilipomjia Yohane mwana wa Zakaria, kule jangwani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
nao Anasi na Kayafa wakiwa makuhani wakuu, neno la Mungu likamjia Yahya, mwana wa Zakaria huko jangwani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wakati wa ukuhani mkuu wa Anasi na Kayafa, neno la Mungu lilimfikia Yohana, mwana wa Zakaria, jangwani.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Anasi na Kayafa walikuwa makuhani wakuu. Katika kipindi hiki, Yohana, mwana wa Zakaria, alikuwa akiishi jangwani na alipata ujumbe kutoka kwa Mungu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
na Anasi na Kayafa walikuwa makuhani wakuu mjini Yerusalem. Wakati huo ndipo neno la Mungu lilipomjia Yohane, mwana wa Zakariya, kule jangwani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na Anasi na Kayafa walikuwa makuhani wakuu. Wakati huo ndipo neno la Mungu lilipomjia Yohane mwana wa Zakaria, kule jangwani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Anasi na Kayafa wakiwa makuhani wakuu, ndipo neno la Mungu likamjia Yohana, mwana wa Zekaria huko nyikani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
nao Anasi na Kayafa wakiwa makuhani wakuu, neno la Mungu likamjia Yahya, mwana wa Zekaria huko jangwani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wakati wa ukuhani mkuu wa Anasi na Kayafa, neno la Mungu lilimfikia Yohana, mwana wa Zakaria, jangwani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na Anasi na Kayafa walikuwa makuhani wakuu. Wakati huo ndipo neno la Mungu lilipomjia Yohane mwana wa Zakaria, kule jangwani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
tena Ana na Kayafa walikuwa watambikaji wakuu. Hapo ndipo, neno la Mungu lilipomjia Yohana, mwana wa Zakaria, huko nyikani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wakati wa ukuhani mkuu wa Anasi na Kayafa, neno la Mungu lilimfikia Yohana, mwana wa Zakaria, jangwani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
nao Anasi na Kayafa walikuwa Makuhani Wakubwa. Halafu Mungu akatoa ujumbe wake kwa Yoane mwana wa Zakaria katika jangwa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
wakati wa ukuhani ukuu wa Anna na Kayafa, neno la Mungu likamfikia Yohana, mwana wa Zakaria, jangwani.