Luke 3:20 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha Herode akazidisha ubaya wake kwa kumtia Yohane gerezani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Herode aliongezea jambo hili kwa hayo mengine yote: alimfunga Yahya gerezani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
aliongeza na hili juu ya yote, alimfunga Yohana gerezani.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hivyo Herode aliongeza jambo jingine baya katika matendo yake maovu. Alimfunga Yohana gerezani.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kisha Herode akazidisha ubaya wake kwa kumtia Yohane gerezani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha Herode akazidisha ubaya wake kwa kumtia Yohane gerezani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Herode akijumlisha haya yote, akamfunga Yohana gerezani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Herode aliongezea jambo hili kwa hayo mengine yote: alimfunga Yahya gerezani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
aliongeza na hili juu ya yote, alimfunga Yohana gerezani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha Herode akazidisha ubaya wake kwa kumtia Yohane gerezani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
akayaongeza mabaya yake na kumfunga Yohanba kifungoni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
aliongeza na hili juu ya yote, alimfunga Yohana gerezani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini Herode akaongeza ubaya mwingine kwa kumutia Yoane ndani ya kifungo.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
akaongeza na hili jun ya yote, alimfunga Yohana gerezani.