Luke 3:24 — Compare Translations
13 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Heli alikuwa mwana wa Mathati, aliyekuwa mwana wa Lawi, mwana wa Melki, mwana wa Yanai, mwana wa Yosefu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Eli alikuwa mwana wa Mathati, Mathati alikuwa mwana wa Lawi, Lawi alikuwa mwana wa Melki, Melki alikuwa mwana wa Yana, Yana alikuwa mwana wa Yusufu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wa Mathati, wa Lawi, wa Melki, wa Yana, wa Yusufu,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Eli alikuwa mwana wa Mathati. Mathati alikuwa mwana wa Lawi. Lawi alikuwa mwana wa Melki. Melki alikuwa mwana wa Yana. Yana alikuwa mwana wa Yusufu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Heli alikuwa mwana wa Mathati, mwana wa Lawi, mwana wa Melki, mwana wa Yanai, mwana wa Yosefu,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Heli alikuwa mwana wa Mathati, aliyekuwa mwana wa Lawi, mwana wa Melki, mwana wa Yanai, mwana wa Yosefu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Eli alikuwa mwana wa Mathati, Mathati alikuwa mwana wa Lawi, Lawi alikuwa mwana wa Melki, Melki alikuwa mwana wa Yanai, Yanai alikuwa mwana wa Yosefu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Eli alikuwa mwana wa Mathati, Mathati alikuwa mwana wa Lawi, Lawi alikuwa mwana wa Melki, Melki alikuwa mwana wa Yanai, Yanai alikuwa mwana wa Yusufu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wa Mathati, wa Lawi, wa Melki, wa Yana, wa Yusufu,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Heli alikuwa mwana wa Mathati, aliyekuwa mwana wa Lawi, mwana wa Melki, mwana wa Yanai, mwana wa Yosefu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wa Matati, wa Lawi, wa Melki, wa Yanai, wa Yosefu,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wa Mathati, wa Lawi, wa Melki, wa Yana, wa Yusufu,
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
wa Mathati, wa Lawi, wa Melki, wa Yanna, wa Yusuf,