Luke 3:26 — Compare Translations
13 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
aliyekuwa mwana wa Maathi, mwana wa Matathia, mwana wa Shemeni, mwana wa Yoseki, mwana wa Yuda,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nagai alikuwa mwana wa Maathi, Maathi alikuwa mwana wa Matathia, Matathia alikuwa mwana wa Semei, Semei alikuwa mwana wa Yoseki, Yoseki alikuwa mwana wa Yoda,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wa Maathi, wa Matathia, wa Semei, wa Yusufu, wa Yuda,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Nagai alikuwa mwana wa Maathi. Maathi alikuwa mwana wa Matathia. Matathia alikuwa mwana wa Semei. Semei alikuwa mwana wa Yusufu. Yusufu alikuwa mwana wa Yoda.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
mwana wa Maathi, mwana wa Matathia, mwana wa Shemeni, mwana wa Yoseki, mwana wa Yuda,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
aliyekuwa mwana wa Maathi, mwana wa Matathia, mwana wa Shemeni, mwana wa Yoseki, mwana wa Yuda,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nagai alikuwa mwana wa Maathi, Maathi alikuwa mwana wa Matathia, Matathia alikuwa mwana Semeini, Semeini alikuwa mwana wa Yoseki, Yoseki alikuwa mwana wa Yoda,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nagai alikuwa mwana wa Maathi, Maathi alikuwa mwana wa Matathia, Matathia alikuwa mwana wa Semeini, Semeini alikuwa mwana wa Yoseki, Yoseki alikuwa mwana wa Yoda,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wa Maathi, wa Matathia, wa Semei, wa Yusufu, wa Yuda,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
aliyekuwa mwana wa Maathi, mwana wa Matathia, mwana wa Shemeni, mwana wa Yoseki, mwana wa Yuda,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wa Mahati, wa Matatia, wa Simei, wa Yoseki, wa Yoda,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wa Maathi, wa Matathia, wa Semei, wa Yusufu, wa Yuda,
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
wa Maathi, wa Matathia, wa Semei, wa Yosef, wa Yuda,