Luke 3:33 — Compare Translations

13 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
aliyekuwa mwana wa Aminadabu, mwana wa Admini, mwana wa Arni, mwana wa Hesroni, mwana wa Peresi, mwana wa Yuda,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nashoni alikuwa mwana wa Aminadabu, Aminadabu alikuwa mwana wa Aramu, Aramu alikuwa mwana wa Esromu, Esromu alikuwa mwana wa Peresi, Peresi alikuwa mwana wa Yuda,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wa Aminadabu, wa Aramu, wa Hesroni, wa Peresi, wa Yuda,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Nashoni alikuwa mwana wa Aminadabu. Aminadabu alikuwa mwana wa Admini, Admini alikuwa mwana wa Aramu. Aramu alikuwa mwana wa Hesroni. Hesroni alikuwa mwana wa Peresi. Peresi alikuwa mwana wa Yuda.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
mwana wa Aminadabu, mwana wa Admini, mwana wa Arni, mwana wa Hesroni, mwana wa Feresi, mwana wa Yuda,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
aliyekuwa mwana wa Aminadabu, mwana wa Admini, mwana wa Arni, mwana wa Hesroni, mwana wa Peresi, mwana wa Yuda,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nashoni alikuwa mwana wa Aminadabu, Aminadabu alikuwa mwana wa Aramu, Aramu alikuwa mwana wa Hesroni, Hesroni alikuwa mwana wa Peresi, Peresi alikuwa mwana wa Yuda,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nashoni alikuwa mwana wa Aminadabu, Aminadabu alikuwa mwana wa Aramu, Aramu alikuwa mwana wa Hesroni, Hesroni alikuwa mwana wa Peresi, Peresi alikuwa mwana wa Yuda,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wa Aminadabu, wa Admini, wa Hesroni, wa Peresi, wa Yuda,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
aliyekuwa mwana wa Aminadabu, mwana wa Admini, mwana wa Arni, mwana wa Hesroni, mwana wa Peresi, mwana wa Yuda,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wa Aminadabu, wa Ramu, wa Hesiromu, wa Peresi, wa Yuda,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wa Aminadabu, wa Aramu, wa Hesroni, wa Peresi, wa Yuda,
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
wa Aminadab, wa Aram, wa Esrom, wa Fares, wa Yuda,