Luke 3:34 — Compare Translations

13 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
aliyekuwa mwana wa Yakobo, mwana wa Isaka, mwana wa Abrahamu, mwana wa Tera, mwana wa Nahori,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yuda alikuwa mwana wa Yakobo, Yakobo alikuwa mwana wa Isaka, Isaka alikuwa mwana wa Ibrahimu, Ibrahimu alikuwa mwana wa Tera, Tera alikuwa mwana wa Nahori,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wa Yakobo, wa Isaka, wa Ibrahimu, wa Tera, wa Nahori,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yuda alikuwa mwana wa Yakobo. Yakobo alikuwa mwana wa Isaka. Isaka alikuwa mwana wa Ibrahimu. Ibrahimu alikuwa mwana wa Tera. Tera alikuwa mwana wa Nahori.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
mwana wa Yakobo, mwana wa Isaka, mwana wa Abrahamu, mwana wa Tera, mwana wa Nahori,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
aliyekuwa mwana wa Yakobo, mwana wa Isaka, mwana wa Abrahamu, mwana wa Tera, mwana wa Nahori,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yuda alikuwa mwana wa Yakobo, Yakobo alikuwa mwana wa Isaki, Isaki alikuwa mwana wa Abrahamu, Abrahamu alikuwa mwana wa Tera, Tera alikuwa mwana wa Nahori,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yuda alikuwa mwana wa Yakobo, Yakobo alikuwa mwana wa Isaka, Isaka alikuwa mwana wa Ibrahimu, Ibrahimu alikuwa mwana wa Tera, Tera alikuwa mwana wa Nahori,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wa Yakobo, wa Isaka, wa Abrahamu, wa Tera, wa Nahori,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
aliyekuwa mwana wa Yakobo, mwana wa Isaka, mwana wa Abrahamu, mwana wa Tera, mwana wa Nahori,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wa Yakobo, wa Isaka, wa Aburahamu, wa Tera, wa Nahori,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wa Yakobo, wa Isaka, wa Ibrahimu, wa Tera, wa Nahori,
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
wa Yakob, wa Isaak, wa Ibrahimu, wa Tara, wa Nahor,