Luke 3:36 — Compare Translations

13 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
aliyekuwa mwana wa Kainamu, mwana wa Arfaksadi, mwana wa Shemu, mwana wa Noa, mwana wa Lameki,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sala alikuwa mwana wa Kenani, Kenani alikuwa mwana wa Arfaksadi, Arfaksadi alikuwa mwana wa Shemu, Shemu alikuwa mwana wa Nuhu, Nuhu alikuwa mwana wa Lameki,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wa Kenani, wa Arfaksadi, wa Shemu, wa Nuhu, wa Lameki,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Sala alikuwa mwana wa Kenani. Kenani alikuwa mwana wa Arfaksadi. Arfaksadi alikuwa mwana wa Shemu. Shemu alikuwa mwana wa Nuhu. Nuhu alikuwa mwana wa Lameki.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
mwana wa Kainani, mwana wa Arfaksadi, mwana wa Shemu, mwana wa Noa, mwana wa Lameki,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
aliyekuwa mwana wa Kainamu, mwana wa Arfaksadi, mwana wa Shemu, mwana wa Noa, mwana wa Lameki,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sala alikuwa mwana wa Kenani, Kenani alikuwa mwana wa Arfaksadi, Arfaksadi alikuwa mwana wa Shemu, Shemu alikuwa mwana wa Noa, Noa alikuwa mwana wa Lameki,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sala alikuwa mwana wa Kenani, Kenani alikuwa mwana wa Arfaksadi, Arfaksadi alikuwa mwana wa Shemu, Shemu alikuwa mwana wa Nuhu, Nuhu alikuwa mwana wa Lameki,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wa Kenani, wa Arfaksadi, wa Shemu, wa Nuhu, wa Lameki,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
aliyekuwa mwana wa Kainamu, mwana wa Arfaksadi, mwana wa Shemu, mwana wa Noa, mwana wa Lameki,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wa Kenani, wa Arpakisadi, wa Semu, wa Noa, wa Lameki,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wa Kenani, wa Arfaksadi, wa Shemu, wa Nuhu, wa Lameki,
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
wa Kainan, va Arfaksad, wa Sem, wa Nuhu, wa Lamek,