Luke 3:37 — Compare Translations
13 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
aliyekuwa mwana wa Methusela, mwana wa Henoki, mwana wa Yaredi, mwana wa Mahalaleli, mwana wa Kainamu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lameki alikuwa mwana wa Methusela, Methusela alikuwa mwana wa Idrisi, Idrisi alikuwa mwana wa Yaredi, Yaredi alikuwa mwana wa Mahalaleli, Mahalaleli alikuwa mwana wa Kenani,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wa Methusela, wa Henoko, wa Yaredi, wa Mahalaleli, wa Kenani,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lameki alikuwa mwana wa Methusela. Methusela alikuwa mwana wa Henoko. Henoko alikuwa mwana wa Yaredi. Yaredi alikuwa mwana wa Mahalaleli. Mahalaleli alikuwa mwana wa Kenani.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
mwana wa Mathusala, mwana wa Henoki, mwana wa Yaredi, mwana wa Mahalaleli, mwana wa Kenani,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
aliyekuwa mwana wa Methusela, mwana wa Henoki, mwana wa Yaredi, mwana wa Mahalaleli, mwana wa Kainamu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lameki alikuwa mwana wa Methusela, Methusela alikuwa mwana wa Enoki, Enoki alikuwa mwana wa Yaredi, Yaredi alikuwa mwana wa Mahalaleli, Mahalaleli alikuwa mwana wa Kenani,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lameki alikuwa mwana wa Methusela, Methusela alikuwa mwana wa Idrisi, Idrisi alikuwa mwana wa Yaredi, Yaredi alikuwa mwana wa Mahalaleli, Mahalaleli alikuwa mwana wa Kenani,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wa Methusela, wa Henoko, wa Yaredi, wa Mahalaleli, wa Kenani,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
aliyekuwa mwana wa Methusela, mwana wa Henoki, mwana wa Yaredi, mwana wa Mahalaleli, mwana wa Kainamu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wa Metusela, wa Henoki, wa Yaredi, wa Mahalaleli, wa Kenani,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wa Methusela, wa Henoko, wa Yaredi, wa Mahalaleli, wa Kenani,
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
wa Methusala, wa Enok, wa Yared, wa Maleleel, wa Kainan,