Luke 3:38 — Compare Translations

13 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
aliyekuwa mwana wa Enoshi, mwana wa Sethi, mwana wa Adamu, aliyekuwa wa Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kenani alikuwa mwana wa Enoshi, Enoshi alikuwa mwana wa Sethi, Sethi alikuwa mwana wa Adamu, Adamu alikuwa mwana wa Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wa Enoshi, wa Sethi, wa Adamu, wa Mungu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kenani alikuwa mwana wa Enoshi. Enoshi alikuwa mwana wa Sethi. Sethi alikuwa mwana wa Adamu. Adamu alikuwa mwana wa Mungu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
mwana wa Enosi, mwana wa Sethi, mwana wa Adamu, aliyekuwa wa Mungu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
aliyekuwa mwana wa Enoshi, mwana wa Sethi, mwana wa Adamu, aliyekuwa wa Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kenani alikuwa mwana wa Enoshi, Enoshi alikuwa mwana wa Sethi, Sethi alikuwa mwana wa Adamu, Adamu alikuwa mwana wa Mungu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kenani alikuwa mwana wa Enoshi, Enoshi alikuwa mwana wa Sethi, Sethi alikuwa mwana wa Adamu, Adamu alikuwa mwana wa Mwenyezi Mungu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wa Enoshi, wa Sethi, wa Adamu, wa Mungu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
aliyekuwa mwana wa Enoshi, mwana wa Sethi, mwana wa Adamu, aliyekuwa wa Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wa Enosi, wa Seti, wa Adamu wa Mungu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wa Enoshi, wa Sethi, wa Adamu, wa Mungu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
wa Enos, wa Seth, wa Adamu, wa Mungu.