Luke 4:10 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
kwa maana imeandikwa: ‘Atawaamuru malaika wake wakulinde,’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa maana imeandikwa: “ ‘Atakuagizia malaika wake ili wakulinde kwa uangalifu;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kwa maana imeandikwa, Atakuagizia malaika zake wakulinde;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kwani Maandiko yanasema, ‘Mungu atawaamuru malaika zake wakulinde.’
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
kwa maana imeandikwa: Atawaamuru malaika wake wakulinde,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kwa maana imeandikwa: ‘Atawaamuru malaika wake wakulinde,’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa maana imeandikwa: “ ‘Atakuagizia malaika zake ili wakulinde;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa maana imeandikwa: “ ‘Atakuagizia malaika zake ili wakulinde;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kwa maana imeandikwa, Atakuagizia malaika zake wakulinde;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
kwa maana imeandikwa: ‘Atawaamuru malaika wake wakulinde,’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani imeandikwa: Atakuagizia malaika zake, wakulinde,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kwa maana imeandikwa, Atakuagizia malaika zake wakulinde;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kwa maana inaandikwa katika Maandiko Matakatifu: ‘Mungu atawaamuru wamalaika wake wakulinde.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
maana imeandikwa, Atakuagizia malaika zake wakulinde,