Luke 4:13 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ibilisi alipokwisha mjaribu kwa kila njia, akamwacha kwa muda.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ibilisi alipomaliza kila jaribu, akamwacha Isa hadi wakati mwingine ufaao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi alipomaliza kila jaribu, Ibilisi akamwacha akaenda zake kwa muda.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Shetani alipomaliza kumjaribu Yesu katika namna zote, alimwacha akaenda zake hadi wakati mwingine.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Ibilisi alipokwishamjaribu kwa kila njia, akamwacha kwa muda.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ibilisi alipokwisha mjaribu kwa kila njia, akamwacha kwa muda.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ibilisi alipomaliza kila jaribu, akamwacha Yesu mpaka wakati mwingine ufaao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ibilisi alipomaliza kila jaribu, akamwacha Isa mpaka wakati mwingine ufaao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi alipomaliza kila jaribu, Ibilisi akamwacha akaenda zake kwa muda.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ibilisi alipokwisha mjaribu kwa kila njia, akamwacha kwa muda.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Msengenyaji alipokwisha kumjaribu yote akaondoka, akamwacha kwanza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi alipomaliza kila jaribu, Ibilisi akamwacha akaenda zake kwa muda.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Shetani alipokwisha kumujaribu Yesu namna zote, akamwacha kwa muda.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Hatta alipomaliza killa jaribu Shetani akaondoka kwake kwa muda.