Luke 4:21 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naye akaanza kuwaambia, “Andiko hili mlilosikia limetimia leo.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo akaanza kwa kuwaambia, “Leo andiko hili limetimia mkiwa mnasikia.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akaanza kuwaambia, Leo maandiko haya yametimia masikioni mwenu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Alianza kuzungumza nao. Akasema, “Maandiko haya yametimilika mlipokuwa mnanisikia nikiyasoma!”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Naye akaanza kuwaambia, “Andiko hili mlilosikia likisomwa, limetimia leo.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naye akaanza kuwaambia, “Andiko hili mlilosikia limetimia leo.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo akaanza kwa kuwaambia, “Leo maandiko haya yametimia mkiwa mnasikia.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo akaanza kwa kuwaambia, “Leo Andiko hili limetimia mkiwa mnasikia.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akaanza kuwaambia, Leo maandiko haya yametimia masikioni mwenu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naye akaanza kuwaambia, “Andiko hili mlilosikia limetimia leo.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
akaanza kuwaambia: Leo hivi yaliyoandikwa hapa yametimia masikioni penu.*
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akaanza kuwaambia, Leo maandiko haya yametimia masikioni mwenu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu akaanza kuwaambia: “Maandiko haya yametimia leo.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akaanza kuwaambia, Leo andiko hili limetimia masikioni mwenu.