Luke 4:37 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Habari za Yesu zikaenea mahali pote katika eneo lile.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Habari zake zikaanza kuenea kila mahali katika sehemu ile.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Habari zake zikaenea kila mahali katika nchi ile.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hivyo habari kuhusu Yesu zikaenea kila mahali katika eneo lote.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Habari zake zikaenea mahali pote katika mkoa ule.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Habari za Yesu zikaenea mahali pote katika eneo lile.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Habari zake zikaanza kuenea kila mahali katika sehemu ile.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Habari zake zikaanza kuenea kila mahali katika sehemu ile.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Habari zake zikaenea kila mahali katika nchi ile.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Habari za Yesu zikaenea mahali pote katika eneo lile.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Huo uvumi wake ukatoka, ukafika po pote penye nchi zilizoko pembenipembeni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Habari zake zikaenea kila mahali katika nchi ile.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na habari za Yesu zikaenea katika jimbo lile lote.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Khabari zake zikaenea katika inchi zilizo kando kando killa pahala.