Luke 4:44 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Akawa anahubiri katika masunagogi ya Yudea.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Naye aliendelea kuhubiri katika masinagogi ya Yudea.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi, alikuwa akihubiri katika masinagogi ya Galilaya.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kisha Yesu akahubiri Habari Njema katika masinagogi ya Uyahudi.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Akawa anahubiri katika masunagogi ya Yudea.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Akawa anahubiri katika masunagogi ya Yudea.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Naye aliendelea kuhubiri katika masinagogi ya Uyahudi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Naye aliendelea kuhubiri katika masinagogi ya Uyahudi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi, alikuwa akihubiri katika masinagogi ya Galilaya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Akawa anahubiri katika masunagogi ya Yudea.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akawa akiipiga hiyo mbiu katika nyumba za kuombea zilizoko Galilea.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi, alikuwa akihubiri katika masinagogi ya Galilaya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Naye akaendelea kuhubiri katika Yudea ndani ya nyumba za kuabudia.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akawa akikhubiri katika sunagogi za Galilaya.