Luke 4:7 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hivi vyote vitakuwa mali yako wewe, kama ukiniabudu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo ukinisujudia na kuniabudu, vyote vitakuwa vyako.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi, wewe ukisujudu mbele yangu yote yatakuwa yako.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Nitakupa vyote hivi, ikiwa utaniabudu tu.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Hivi vyote vitakuwa mali yako wewe, kama ukiniabudu.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hivi vyote vitakuwa mali yako wewe, kama ukiniabudu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo ikiwa utanisujudia na kuniabudu, vyote vitakuwa vyako.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo ikiwa utanisujudia na kuniabudu, vyote vitakuwa vyako.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi, wewe ukisujudu mbele yangu yote yatakuwa yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hivi vyote vitakuwa mali yako wewe, kama ukiniabudu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Basi, wewe ukiniangukia hapa machoni pangu, yote yatakuwa yako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi, wewe ukisujudu mbele yangu yote yatakuwa yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi ukiinama mbele yangu kwa kuniabudu, zote zitakuwa zako.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
bassi, wewe ukisujudu mbele yangu, yote yatakuwa yako.