Luke 4:9 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ibilisi akamchukua mpaka Yerusalemu, kwenye mnara wa hekalu, akamwambia, “Kama wewe ni Mwana wa Mungu, jitupe chini
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha ibilisi akampeleka hadi Yerusalemu, akamweka juu ya mnara mrefu wa Hekalu, akamwambia, “Kama wewe ndiwe Mwana wa Mungu, jitupe chini kutoka hapa,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akamwongoza mpaka Yerusalemu, akamweka juu ya kinara cha hekalu, akamwambia, Ukiwa ndiwe Mwana wa Mungu, jitupe chini;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ndipo Shetani akamwongoza Yesu mpaka Yerusalemu na kumweka mahali palipo juu katika mnara wa Hekalu. Akamwambia, “Kama wewe ni Mwana wa Mungu, jirushe!
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Ibilisi akamchukua mpaka Yerusalemu, kwenye mnara wa Hekalu, akamwambia, “Kama wewe ni Mwana wa Mungu,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ibilisi akamchukua mpaka Yerusalemu, kwenye mnara wa hekalu, akamwambia, “Kama wewe ni Mwana wa Mungu, jitupe chini
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha ibilisi akampeleka mpaka Yerusalemu, akamweka juu ya mnara mrefu mwembamba wa Hekalu, akamwambia, “Kama wewe ndiwe Mwana wa Mungu, jitupe chini kutoka hapa,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha ibilisi akampeleka mpaka Yerusalemu, akamweka juu ya mnara mrefu wa Hekalu, akamwambia, “Kama wewe ndiwe Mwana wa Mungu, jitupe chini kutoka hapa,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akamwongoza mpaka Yerusalemu, akamweka juu ya kinara cha hekalu, akamwambia, Ukiwa ndiwe Mwana wa Mungu, jitupe chini;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ibilisi akamchukua mpaka Yerusalemu, kwenye mnara wa hekalu, akamwambia, “Kama wewe ni Mwana wa Mungu, jitupe chini
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akampeleka Yerusalemu, akamsimamisha juu pembeni hapo Patakatifu, akamwambia: Kama ndiwe Mwana wa Mungu, ruka hapa, ujitupe chini!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akamwongoza mpaka Yerusalemu, akamweka juu ya kinara cha hekalu, akamwambia, Ukiwa ndiwe Mwana wa Mungu, jitupe chini;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu Shetani akamupeleka Yerusalema. Akamusimamisha juu sana kwenye pembe la hekalu na kumwambia: “Kama wewe ni Mwana wa Mungu, ujitupe chini,
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akamwongoza hatta Yerusalemi, akamweka juu ya ukumbi wa hekalu, akamwambia, Ukiwa ndiwe Mwana wa Mungu, jitupe chini, toka huku: