Luke 5:16 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini yeye alikwenda zake mahali pasipo na watu, akawa anasali huko.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini mara kwa mara Isa alijitenga nao ili kwenda mahali pa faragha kuomba.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini yeye alikuwa akijiepua, akaenda mahali pasipokuwa na watu, akaomba.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mara nyingi Yesu alikwenda sehemu zingine zisizokuwa na watu na akaomba huko.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Lakini yeye alikwenda zake mahali pasipo na watu, akawa anasali huko.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini yeye alikwenda zake mahali pasipo na watu, akawa anasali huko.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini mara kwa mara Yesu alijitenga nao ili kwenda mahali pa faragha kuomba.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini mara kwa mara Isa alijitenga nao ili kwenda mahali pa faragha kuomba.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini yeye alikuwa akijitenga, akaenda mahali pasipokuwa na watu, akaomba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini yeye alikwenda zake mahali pasipo na watu, akawa anasali huko.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini yeye akajiepua, akaenda mahali palipokuwa pasipo watu, akawapo akiomba.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini yeye alikuwa akijiepua, akaenda mahali pasipokuwa na watu, akaomba.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini alikuwa akienda mbali nao kwenye ukiwa na kuomba kule.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Lakini yeye alikuwa akijitenga jangwani na kusali.